Philippe Coutinho amekuwa nyota wa mchezo katika EFL Cup ambapo ameisaidia Liverpool kusonga mbele kwa ushindi wa 3-0 dhidhi Derby County.
Coutinho aliifungia Liverpool bao la pili huku mabao mengine yakifungwa na Ragnar Klavan na Divock Origi.
Derby (4-5-1): Mitchell 7; Christie 5.5, Keogh 5, Pearce 5.5, Olsson 6 (Lowe 63 6); Hughes 6, Baird 6 (Ince 45 6), Johnson 6, Butterfield 6.5, Weimann 6 (Elsnik 55 6); Bent 6
Unused substitutes: Weale (Gk), Camara, Blackman, Rawson
Liverpool (4-3-3): Karius 6.5; Clyne 6.5, Matip 6, Klavan 6.5, Moreno 6; Lucas 6, Henderson 6.5 (Can 57 6), Grujic 6; Coutinho 7.5 (Ings 63 6), Origi 6.5, Firmino 6.5 (Ejaria 78 6)
Philippe Coutinho akiifungia Liverpool bao la kwanza
Roberto Firmino akimpongeza Philippe Coutinho (kushoto)
Coutinho anapokea pongezi kutoka kwa wachezaji wenzake
Divock Origi anashangilia bao la tatu la Liverpool
Comments
Post a Comment