KALIDOU KOULIBALY ANAYEFUKUZIWA NA CHELSEA AONGEZEWA MKATABA NAPOLI


KALIDOU KOULIBALY ANAYEFUKUZIWA NA CHELSEA AONGEZEWA MKATABA NAPOLI
KITENDO cha Chelsea kumfukuzia mlinzi mahiri wa Senegal, Kalidou Koulibaly, kimempa ulaji baada ya klabu yake ya Napoli ya Italia kuamua kumuongezea mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo.


Jumatatu hii Koulibaly alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitano kuitumikia Napoli inayoongoza Ligi Kuu ya Italia, hivyo atakuwepo hapo hadi mwaka 2021.


Comments