Nice imeendeleza mwanzo wake mzuri kwenye Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kwa kuibabua Monaco 4-0 huku mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Mario Balotelli akifunga mara mbili.
Mkali huyo wa Kitaliano alifunga pia idadi kama hiyo katika mchezo wake wa kwanza kwa timu hiyo mapema mwezi huu.
Comments
Post a Comment