MSHAMBULIAJI wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann mwenye umri wa miaka 25, ambaye anahusishwa kutakiwa na Manchester United, aliipiga chini ofa ya kukaa mezani kwa ajili ya mazungumzo ya kutua katika klabu ya PSG kwenye dirisha la usajili wa majira ya kiangazi.
Comments
Post a Comment