KLABU ya Sunderland imewabania mabingwa wa Ligi Kuu England, Leicester City waliokuwa wakimfukuzia mlinzi Lamine Kone.
Leicester walikuwa wakimuhitaji beki huyo mwenye miaka 27, ili kukiboresha kikosi chao ambacho kitakabiliwa na ushindani mkali msimu huu.
Comments
Post a Comment