REAL MADRID YAJIPANGA KUMUONGEZEA GARETH BALE MKATABA MPYA WA PAUNI 161,000 KWA WIKI

REAL MADRID YAJIPANGA KUMUONGEZEA GARETH BALE MKATABA MPYA WA PAUNI 161,000 KWA WIKI
KLABU ya Real Madrid imetajwa kuwa mbioni kumuongezea mkataba staa wake, Gareth Bale utakaomfanya kupokea mshahara wa pauni 161,000 kwa wiki.

Comments