LIVERPOOL YAPOTEZEA OFA YA BENTEKE KWA MARA YA TATU



LIVERPOOL YAPOTEZEA OFA YA BENTEKE KWA MARA YA TATU
KLABU ya Liverpool imetupilia mbali ofa ya pauni mil 32.5 kwa ajili ya mshambuliaji wake, Christian Benteke.

Hii ni mara ya tatu kugomea ofa ya mshambuliaji huyo, walipewa ya pauni mil 23 wakaitupa, wakaletewa ya mil 27 wakaitupa pia.


Comments