Liverpool imekamilisha mechi zake za majaribio kwaajili ya msimu kwa kukubali kichapo cha 4-0 kutoka kwa Mainz ya Ujerumani.
Liverpool ambayo Jumamosi iliifunga Barcelona 4-0, ikajikuta ikikalia kisago kama hicho dhidi Mainz kwa magoli yalivyofungwa na Brosinski 15′, Cordoba 45′, Malli 60′ na Muto 75′.
Mainz: Lossl, Donati, Balogun, Rodriguez, Cordoba, Bell, Brosinski, Onisiwo, Clemens, De Blasis, Serdar
Liverpool: Manninger; Alexander-Arnold (Randall 46′), Matip, Wisdom, Moreno (Hart 60′); Can (Stewart 46′), Grujic (Ings 39′), Henderson (Wijnaldum 74′); Lallana (Brannagan 46′), Woodburn (Gomes 46′), Origi (Firmino 74′)
Comments
Post a Comment