JOSE MOURINHO APAMBANA KUMNYAKUA BEKI MBRAZIL WA MONACO JOSE Mourinho anapigania kumsajili beki wa kulia kutoka Brazil anayechezea Monaco, Fabinho.
Kocha huyo raia wa Ureno, anahitaji saini ya kinda huyo mwenye miaka 22 kwa nia ya kuimarisha ulinzi wa klabu yake ya Manchester United.
Comments
Post a Comment