MLINDA mlango wa              Manchester City, Joe Hart ameelezwa wazi na kocha wake, Pep              Guardiola kuwa anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo kwani              anataka kumchukua kipa mwingine ambapo Claudio Bravo              anahusishwa na dili hilo.
        Baada ya kusikia              kuwa Hart hana muda mrefu ndani ya City, Everton imeanza              kumnyatia kipa huyo.
        
Comments
Post a Comment