KIUNGO Moussa Sissoko mwenye umri wa miaka 26, anaweza kuiacha Newcastle United muda wowote kuanzia sasa.
Mchezaji huyo anazidi kufukuziwa na klabu kadhaa, ikiwemo Crystal Palace inayotaka kuziba pengo la kiungo yake aliyetimka Yannick Bolasie.
Comments
Post a Comment