LICHA ya kuwa            nyumbani pamoja na safu ya washambuliaji wa bei mbaya, bado            Brazil imeshindwa kuifunga Afrika Kusini iliyokuwa pungufu            tangu dakika ya 59.
        Ulikuwa mchezo soka            wa Olimpiki ambapo Brazil ikiwa na washambuliaji watatu hatari            Neymar, Gabriel Jesus na Gabriel Barbosa ikalazimishwa sare ya            0-0 na Afrika Kusini.
        BRAZIL              (4-3-3): Weverton; Zeca, Marquinhos, Caio, Douglas            Santos (William 84); Felipe Anderson (Luan 60), Renato Augusto            (Rafinha 67), Thiago Maia; Neymar, Gabriel Jesus, Gabriel
        Kadi ya              njano: Thiago Maia 73, Marquinhos 90+3
        SOUTH              AFRICA (4-2-3-1): Khune; Mobara, Mathoho, Coetzee,            Mekoa; Motupa, Mvala; Modiba (Ntshangase 70), Masuku (Morris            58), Dolly; Mothiba
        Kadi ya njano: Mvala            56, Mathoho 90
        Kadi              nyekundu: Mvala 59
        Neymar akiwa hoi
        Neymar  akidhibitiwa
          
Comments
Post a Comment