ARSENAL YAMNG'ANG'ANIA KIERAN GIBBS... yasema haiko tayari kukaa meza moja na klabu yoyote itakayohitaji
ARSENAL imesema haiko tayari kukaa meza moja na klabu yoyote itakayohitaji kumsajili nyota wake Kieran Gibbs.
Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa kuwa klabu ya West Ham inasuka mipango kabambe ya kuhakikisha inanasa saini ya staa huyo.
Comments
Post a Comment