ARSENAL imedhihirisha kuwa sio timu ya kubeza baada ya kuitandika Manchester City 3-2 katika mchezo wao wa mwisho wa maandalizi ya msimu mpya.
Theo Walcott ameendelea kung'ara akicheza kama mshambuliaji ambapo aliifungia Arsenal bao la pili.
Beki wa Arsenal Gabriel Paulista alitolewa kwa machela baada ya kugongana vibaya na Yaya Toure.
Arsenal (4-2-3-1): Cech; Bellerin (Debuchy 77), Gabriel, Holding (Chambers 46), Monreal (Gibbs 77); Coquelin, Xhaka (Elneny 46); Oxlade-Chamberlain (Walcott 46), Ramsey (Cazorla 63), Iwobi (Campbell 69); Sanchez (Akpom 78)
Wafungaji: Iwobi 50, Walcott 73, Akpom 85
Manchester City (4-3-3): Caballero (Hart 46), Zabaleta (Sagna 63), Fernando (Adarabioyo 63), Kolarov, Clichy (Serrano 81), Fernandinho (Tasende 81), Silva (Navas 63), Delph (Toure 68), Nolito (De Bruyne 63), Sterling (Zinchenko 81), Aguero (Iheanacho 68)
Wafungaji: Aguero 30, Iheanacho 87
Akitokea benchi Theo Walcott akaifungia Arsenal bao la pili
Sergio Aguero aliifungia bao la kwanza Manchester City akimalizia krosi nzuri ya Raheem Sterling
Gabriel Paulista aliumia vibaya baada ya kugongana na Yaya Toure
Gabriel ilibidi atolewe kwa machela
Gabriel akibubujikwa na machozi
Comments
Post a Comment