ADGARDO BAUZA ATEULIWA KUWA KOCHA MPYA ARGENTINA



ADGARDO BAUZA ATEULIWA KUWA KOCHA MPYA ARGENTINA
CHAMA cha soka Argentina (AFA), kimemteua kocha Edgardo Bauza kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa.

Kocha huyo anachukua nafasi iliyoachwa na Gerardo "Tata".
Martino amejiuzulu baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Copa America.   

AFA ilimtangaza kocha huyo baada ya klabu ya Sao Paulo toka mwaka 2015 na kuisaidia kufika nusu fainali ya michuano ya Copa Libertadores.


Makocha waliokuwa wakipewa nafasi ya kukinoa kikosi hicho ni Jorge Sampaoli na Marcelo Bielsa.


Comments