VAN PERSIE KUANGUKIA RANGERS YA SCOTLAND



VAN PERSIE KUANGUKIA RANGERS YA SCOTLAND
STRAIKA wa timu ya Fernebahce, Robbin Van Persie huenda akafanya uhamisho wa kushitusha kuelekea katika klabu ya Rangers ya Scotland.


Kwa mujibu wa gazeti la Daily Star, vigogo hao wa soka, Scotland wako katika mazungumzo ya mwisho na nyota huyo wa zamani wa timu ya Manchester United.


Comments