MCHEZAJI wa              zamani wa klabu za Arsenal na Manchester United za England,              Robin Van Persie raia wa Uholanzi amewekwa sokoni na klabu              yake ya Fernabahce ya Uturuki.
        Van Persie mwenye              miaka 32 ameshindwa kuonyesha kiwango cha kuvutia na hivyo              kuifanya klabu hiyo kuona inapoteza fedha nyingi za bure              kumlipa mshahara.
        
Comments
Post a Comment