MSHAMBULIAJI              mkongwe wa Argentina, Carlos Tevez aliyepata kutamba na              westham, Manchester United na City, amesema matajiri wa              London, Chelsea wanataka kumrudisha Ulaya.
        Tevez ambaye              aliamua kukatisha mkataba wake wa kuitumikia Juventus na              kurejea zake kwa Argentina, amesema mbali na Chelsea, pia              Napoli ya Italia imemuomba arejee kukipiga Ulaya walau kwa              miaka mitatu na kwamba bado anazitafakari ofa hizo.
        
Comments
Post a Comment