Tazama Goli Alilofunga Mbwana Samatta Jana Lililofanya Genk Kuibuka na Ushindi



Tazama Goli Alilofunga Mbwana Samatta Jana Lililofanya Genk Kuibuka na Ushindi
Jana usiku Juni 14, nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbwana Ally Samatta alifunga goli kwenye mchezo wa hatua za awali kuwania kucheza Europa Ligue wakati Genk ikicheza dhidi ya Buducnost Podgorica.

Mchezo huo ulimalizika kwa Genk kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 huku Samatta akiwa amefunga bao la pili dakika ya 79 huku baada ya Neeskens Kebano kufunga bao la kwanza dakika ya 17 kwa mkwaju wa penati.

Inawezekana hukuweza kuliona goli lililofungwa na Samatta, hii hapa video ya goli hilo, enjoy. Video:


Comments