MLINZI Samuel Umtiti anajiandaa kutua katika klabu ya Barcelona akitokea Lyon ya Ufaransa, baada ya klabu hizo mbili kukubaliana dhidi ya uhamisho.
Umtiti yuko na kikosi cha Ufaransa kwenye michuano ya Euro lakini ataweza kukamilisha uhamisho wake kabla ya michuano hiyo kumalizika, huku ada ya uhamisho huo ikitarajiwa kuwa kiasi cha pauni mil 25.

Comments
Post a Comment