MSHAMBULIAJI wa zamani wa Tottenham Hot Spurs, Rafael Van der Vaart, mwenye miaka 33, amefunguliwa milango ya kutokea Real Betis.
Hata hivyo, mshambuliaji huyo amejua pa kutokea baada ya kuomba kurejea jijini London akitaka kujiunga na timu ya daraja la kwanza ya Reading United.
Comments
Post a Comment