PIOTR ZIELINSKI WA POLAND ADAI KLABU YAKE INAMBANIA KWENDA LIVERPOOL



PIOTR ZIELINSKI WA POLAND ADAI KLABU YAKE INAMBANIA KWENDA LIVERPOOL
KIUNGO mahiri wa Poland anayekipiga Udinese ya Ligi Kuu Italia serie A, Piotr Zielinski, amesema kwamba klabu yake inambania kwenda kukipiga Liverpool.

Zieliski alielezea masikitiko yake baada ya Udinese kukataa ofa ya pauni mil 11.7 iliyowasilishwa na Liverpool.

alisema, anadhani sababu ya klabu hiyo kuikataa ofa ya Liverpool inalenga kumlazimisha na klabu ya Napoli ambayo pia ya Italia.    


Comments