PAUL POGBA MOYO WAKE UKO REAL MADRID KULIKO MANCHESTER UNITED


PAUL POGBA MOYO WAKE UKO REAL MADRID KULIKO MANCHESTER UNITED

Manchester United have told Juventus they are                  willing to make Paul Pogba the most expensive footballer                  ever
PAUL POGBA angependelea zaidi kutua Real Madrid licha ya Manchester United kuweka mezani pauni milioni 80 kwaajili yake.
Kiungo huyo wa Juventus anahusishwa na usajili wa kurejea Old Trafford lakini gazeti la The Sun la Uingereza linafichua kuwa Pobga angependa kumwaga wino Hispania kati ya Real Madrid au Barcelona.
Pobga mwenye umri wa miaka 23, yuko kwenye mipango ya kocha mpya wa Manchester United Jose Mourinho ambaye anataka kufanya mageuzi makubwa kwenye safu ya kiungo.




Comments