MANCHESTER UNITED YAJIAMINISHA KUNASA SAINI YA ZLATAN IBRAHIMOVIC


MANCHESTER UNITED YAJIAMINISHA KUNASA SAINI YA ZLATAN IBRAHIMOVIC
MIAMBA ya soka England, klabu ya Manchester United inajiamini kwamba itafanikiwa kuinasa saini ya Zlatan Ibrahimovic muda mfupi ujao.


Staa huyo wa zamani wa Sweden ambaye amestaafu kushiriki michezo ya kimataifa baada ya taifa lake hilo kuondolewa kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya "Euro 2016", anajiandaa kusaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo.


Comments