MANCHESTER UNITED SASA YANYATIA SAINI YA KINDA GUILLERMA VARELA

MANCHESTER UNITED SASA YANYATIA SAINI YA KINDA GUILLERMA VARELA
KLABU ya Manchester United ipo katika harakati ya kuinyatia saini ya kinda Guillerma Varela, 23.

Nyota huyo kutoka Uruguay pia anawindwa na klabu ya Eintracht Frankfurt.

Comments