MANCHESTER CITY YANASA SAINI YA KIUNGO WA KIMATAIFA AARON MOOY

MANCHESTER CITY YANASA SAINI YA KIUNGO WA KIMATAIFA AARON MOOY
KLABU ya Manchseter City imemsajili kiungo wa kimataifa wa Australia, Aaron Mooy kutoka klabu ya Melbourne City FC ya Australia.

Mooy, 25, anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na kocha Pep Guardiola baada ya uhamisho wa kwanza wa Ilkay Gundogan kukamilika hivi karibuni.

Comments