KLABU ya              Liverpool imejitoa katika mbio za kutaka kumsajili kiungo wa              Bayern Munich, Mario Gotze mwenye miaka 24.
        Wakati Liverpool              wakijitoa, klabu za Tottenham na Borussia Dortmund              zimeendelea kuisotea saini ya mchezaji huyo aliyekuwepo              kwenye kikosi cha Ujerumani kilichotwaa ubingwa mwaka 2014.
        
Comments
Post a Comment