Leicester City imekamilisha usajili wa kiungo Nampalys Mendy wa Nice ya Ufaransa kwa pauni milioni 13.
Usajili wa nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 unatafsiriwa kama maandalizi ya klabu hiyo kuachana na N'Golo Kante anayewaniwa na vilabu vikubwa barani Ulaya.
Nampalys Mendy akipozi na skafu ya Leicester City
Nampalys Mendy mwenye umri wa miaka 24 anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Leicester City kiangazi hiki
Comments
Post a Comment