LEICESTER CITY WAJITOSA KUMFUKUZIA WISSAM BEN YEDDER ANAYEWINDWA NA WEST HAM

LEICESTER CITY WAJITOSA KUMFUKUZIA WISSAM BEN YEDDER ANAYEWINDWA NA WEST HAM
MABINGWA wa Ligi Kuu England, Leicester City wamejitosa kumfukuzia mchezaji aliyekuwa akiwindwa na West Ham United, Wissam Ben Yedder.

Mshambuliaji huyo wa timu ya Toulouse ya Ufaransa, mwenye miaka 25, aloiifungia timu yake mabao 17 msimu uliopita katika Ligi Kuu "Ligue 1".

Comments