LEICESTER CITY WAANZA KUTETA NA NAMPALYS MENDY WA NICE MABINGWA wa Ligi Kuu ya soka nchini Uingereza, Leicester City, wameanza mazungumzo na kiungo wa Nice, Nampalys Mendy.
Leicester wamemtengea pauni mil 13 mchezaji huyo mwenye miaka 24, ambaye anawaniwa na timu kadhaa za Ufaransa.
Comments
Post a Comment