LAZIO YATUMA MAOMBI CHELSEA YA KUMSAJILI BABA RAHMAN



LAZIO YATUMA MAOMBI CHELSEA YA KUMSAJILI BABA RAHMAN
LAZIO ya Italia imetuma maombi ya kumsajili mlinzi kinda wa Ghana anayechezea Chelsea ya England, Baba Rahman.


Klabu hiyo imewasilisha ofa ya pauni mil 13, ambayo sio rahisi kwa Chelsea kumwachia kwani walitoa pauni mil 21.7 kumsajili mchezaji huyo mwenye miaka 21.


Comments