KOCHA wa Everton, Ronald Koeman ametenga kiasi cha pauni mil 30 ili kumsajili kiungo wa Ureno, Wiliam Carvalho.
Mchezaji huyo mwenye miaka 24 alikuwa nguzo ya Ureno kwenye michuano ya Euro 2016 ambapo waliandika historia kwa kutwaa ubingwa.
Comments
Post a Comment