KOCHA KOEMAN AIMENDEA SAINI YA WINGA MARCO AMAUTOVIC WA STOKE CITY

KOCHA KOEMAN AIMENDEA SAINI YA WINGA MARCO AMAUTOVIC WA STOKE CITY
KOCHA wa timu ya Everton, Ronald Koeman anaivizia saini ya winga wa Stoke City, raia wa Austria, Marco Amautovic.

Mchezaji huyo mwenye miaka 27 amekuwa kwenye kiwango bora katika misimu mitatu mfululizo na Koeman anadhani mchezaji huyo atasaidia kukiboresha kikosi chake.

Comments