KOCHA mkuu wa              Manchester City, Pep Guardiola anatazamia kumsajili              chipukizi wa Brazil anayefanya vizuri hivi sasa, Gabriel              Jesus ambaye anasakwa na Real Madrid, Barcelona na Man              United, huku ripoti zikidai kuwa huenda mshambuliaji huyo              akatua City Januari 2017.
        
Comments
Post a Comment