MIAMBA ya soka Italia, klabu ya Juventus imeendelea kuonyesha dhamira yao ya kumsajili winga wa klabu ya Dinamo Zagreb, Marko Pjaca.
Pjaca ameonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye michuano ya fainali za Ulaya "Euro 2016", akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Croatia na hilo ndilo linalomfanya azitoe udenda klabu kadhaa Ulaya.
Comments
Post a Comment