JORGE FRANCO KUENDELEA KUKIPIGA KWA MKOPO SPORTING GIJON



JORGE FRANCO KUENDELEA KUKIPIGA KWA MKOPO SPORTING GIJON
BAADA ya kung'ara akiwa na timu ya Espanyol, winga wa Real Madrid, Jorge Franco huenda akatumia tena msimu ujao akikipiga kwa mkopo katika timu ya Sporting Gijon.


Kwa mujibu wa gazeti la Marca, klabu hiyo ya Santiago Bernabeu inampeleka kinda huyo akakipige kwa mkopo kwa ajili ya kumjenga kwenye michuano ya Ligi ya La Liga kabla ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Los Blancos.


Comments