JOHN STONES KUTUA MANCHESTER CITY KWA KITITA CHA PAUNI MIL 50

JOHN STONES KUTUA MANCHESTER CITY KWA KITITA CHA PAUNI MIL 50
TIMU ya Manchester City inasemekana kuwa mbioni kumnasa beki wa Everton, John Stones kwa rekodi ya uhamisho wa pauni mil 50.

Gazeti la Metro limeripoti juzi kwamba hatua hiyo imekuja baada ya ofa ya kwanza ya pauni mil 40 kukataliwa.

Comments