IBRAHIMOVIC ATHIBITISHA KUWA ANAJIUNGA NA MANCHESTER UNITED


IBRAHIMOVIC ATHIBITISHA KUWA ANAJIUNGA NA MANCHESTER UNITED

HATIMAYE Zlatan Ibrahimovic amethibitisha kuwa anajiunga na Manchester United.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 34 amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alisema sasa umefika wakati wa dunia kujua wapi anapoelekea na kufafanua kwa kusema: "Timu yangu ijayo ni Manchester United, nakuja".

Usajili wa Ibrahimovic  wa kujiunga na Manchester United unategemewa kukamilika wikiendi hii.

Zlatan Ibrahimovic posted                  this message on his official Instagram account on                  Thursday afternoon
Zlatan Ibrahimovic ameweka hadharani kuwa anajiunga na Manchester United
Ibrahimovic endured a                  frustrating time at Euro 2016 with Sweden exiting at the                  group stage
Ibrahimovic hakung'ara katika Euro 2016 akiwa na Sweden iliyotolewa katika hatua ya makundi
Ibrahimovic will link up                  again with Jose Mourinho (right) and come up against his                  former Barcelona manager Pep Guardiola (centre). The                  three are pictured during the 2010 Champions League                  semi-final
Ibrahimovic anaungana tena na Jose Mourinho (kulia) na atacheza dhidi ya kocha wake mwingine wa zamani enzi zake za  Barcelona manager Pep Guardiola (katikati). Picha hii ya watatu hawa ilipigwa katika mchezo wa nusu fainali ya are Champions League ya mwaka  2010  kati ya Barcelona na Inter Milan 
How the Swedish star will                  look when he pulls on United's red shirt for the first                  time next season
Namna Ibrahimovic atakavyoonekana katika jezi ya United msimu ujao


Comments