KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amemkomalia beki John Stones mwenye miaka 22, ambapo kwa sasa amemtengea hadi pauni mil 50.
Guardiola anataka kumsajili beki huyo wa Everton ambaye ameanza kuchomoza kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England ili kuwa mbadala wa nahodha wa timu hiyo, Vincent Kompany abaye anaandamwa na majeruhi.
Comments
Post a Comment