David Moyes Ametangazwa Kuwa Kocha Mpya wa Sunderland
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
David Moyes Ametangazwa Kuwa Kocha Mpya wa Sunderland
Kocha wa zamani wa Everton na Man United, David Moyes ametangazwa kuwa mrithi wa Sam Allardyce, David Moyes ambaye ana umri wa miaka 53 amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Sunderland. Sam Allardyce maarufu kama Big Sam ambaye ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa England.
Comments
Post a Comment