CRYSTAL PALACE WAMFUKUZIA CHRISTIAN BENTEKE




CRYSTAL PALACE WAMFUKUZIA CHRISTIAN BENTEKE
CRYSTAL Palace inaisaka saini ya straika wa Liverpool Christian Benteke baada ya kushindwa kwa Michy Batshuwayi ambaye anakaribia kutua Chelsea.


Kocha wa The Eagles hao, Alan Pardew anasaka mshambuliajia atakayemsaidia kwenye michezo ya Ligi kutokana na ukame wa mabao ulioikumba timu yake katika msimu uliopita.


Comments