CHRISTIAN TELLO AKATAA OFA YA KUTUA LIVERPOOL NA KUAMUA KUBAKI FIORENTINA

CHRISTIAN TELLO AKATAA OFA YA KUTUA LIVERPOOL NA KUAMUA KUBAKI FIORENTINA
KWA mujibu wa gazeti la dello Sport Italia, winga wa Barcelona aliye kwa mkopo Fiorentina, Christian Tello, 24, ameipiga chini ofa ya kutua Liverpool na kusema kuwa anataka kubaki kwenye klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Italia "Serie A".

Comments