CHELSEA YANG’ANG’ANA KWA KALIDOU KAULIBALY



CHELSEA YANG'ANG'ANA KWA KALIDOU KAULIBALY

KLABU ya Chelsea imeendeleza harakati zao za kuhakikisha inainasa saini wa beki wa klabu ya Napoli, Kalidou Kaulibaly ambapo sasa imepeleka ofa nono ya pauni mil 38 katika klabu hiyo.


Comments