CELTIC YATANGAZA KUMSAJILI KOLO TOURE MIAMBA ya soka nchini Scotland, klabu ya Celtic imetangaza kumsajili beki Kolo Toure aliyekuwa akikipiga Liverpool.
Toure amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kukipiga chini ya kocha wa klabu hiyo, Brendan Rodgers aliyewahi kuwa naye katika kikosi cha Liverpool.
Comments
Post a Comment