CARLOS TEVEZ AKITOLEA NJE KITITA CHA PAUNI 150,000 CHA WESTHAM... asema kama wanamtaka pauni 250,000 zinahusika
NYOTA Carlos Tevez amesema kuwa ili aweze kujiunga na klabu ya Westham ni lazima wamlipe pauni 250,000 kwa wiki.
Kabla ya kauli hiyo ya staa huyo mwenye umri wa miaka 32, awali Westham walipanga kumpa pauni 150,000 kwa wiki, kiasi ambacho nyota huyo amekitolea nje.
Comments
Post a Comment