MABINGWA wa Hispania, klabu ya Barcelona wameanzisha mchakato wa kunasa saini ya mshambuliaji wa Leicester City, Ayoze Perez.
Mtandao wa Daily mail umedokeza kuwa Barca bado inahaha kusaka mshambuliaji wa kuwasaidia mastaa wao Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar na sasa imeahamisha nguvu yao kwa Perez.
Comments
Post a Comment