ARSENAL wanakusudia kuwasajili walinzi wawili akiwemo beki chipukizi wa Manchester City, Jason Denayer mwenye miaka 21.
Mbali na huyo, klabu hiyo ya London inataka kumsajili mlinzi chipukizi anayeng'ara kwenye kikosi cha Borussia Dortmund ya Ujerumani, Matthias Ginter mwenye miaka 22.
Comments
Post a Comment