AC MILAN YAJIPANGA KUMVUTA BEKI MATEO MUSACCHIO WA VILLARREAL



AC MILAN YAJIPANGA KUMVUTA BEKI MATEO MUSACCHIO WA VILLARREAL
KOCHA wa AC Milan, Vincenzo Montella amepanga kumsajili beki ili kuimarisha ukuta wa timu hiyo ambapo yuko mbioni kuinasa saini ya beki wa Villarreal, Mateo Musacchio.


Mbali na nyota huyo, klabu hiyo ipo katika hatua nzuri ya kuipata saini ya chaguo namba moja la klabu hiyo, Shkodran Mstafi.


Comments