KLABU ya Watford imeitolea nje ofa ya pauni mil 20 zilizotolewa na Leicester City ikimtaka straika wao, Troy Deeney.
Mtandao wa Sky Sports umeripoti kwamba Leicester City ilituma ofa hiyo mapema wiki hii ikimtaka straika huyo ili kuweza kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.
Comments
Post a Comment