VILLARREAL YAIPA RUKSA MANCHESTER UNITED KUMSAJILI SENTAHAFU ERIC BAILLY


VILLARREAL YAIPA RUKSA MANCHESTER UNITED KUMSAJILI SENTAHAFU ERIC BAILLY

Manchester United imeambiwa na Villarreal kuwa ni ruksa kumsajili beki Eric Bailly lakini ni lazima wajipinde na kuweka mezani pauni milioni 27.6. 

Villarreal imeweka wazi kuwa kama United itatoa pauni 27.6 basi haitakuwa na pingamizi lolote.

Bosi wa United Jose Mourinho anataka kuhakikisha beki huyo wa kimataifa wa Ivory Coast anatua Old Trafford mapema iwezekanavyo.


Comments